Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hata sasa hivi hizo show offs zinalipa.JoJo was Mistress mkuu, na enzi hzo show off zilikuwa zinalipa mno
Angalia hizo teuzi idadi ya watu kutokea kwenye media na showbiz. Ni wengi.
Huyo JoJo mwenyewe walimwengu wamekuwa wamekuwa wanampendekeza sana humu mitandaoni, kuwa ni mchapakazi kwamba kafanya wonders.
Sababu kubwa ni hizo camera na social media.