Kwanza napenda ufahamu kuwa, uwazi haupo kwenye media ,uwazi upo kwenye vikao rasmi.
Pili, kiongozi huwa hapimwi kwa kiasi gani ameonekana kwenye media isipokuwa amefanya nini, Kuna viongozi kibao wametumia media/ publicity wamepotea kwa sababu rating yao imeonesha media was just a show off na ni sehemu ya kujificha tu Ila huko ground hakuna kitu.
Mwisho, mwambieni Mh.NiK afanye kazi zaidi aachane na media za show off, yeye ana bahati tu Kwamba media zipo karibu Sana na Kisarawe Ila Kuna wenzake huko Namtumbo wanapiga kazi bila hata media na wananchi wanaridhika.