Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Hizo ni siasa za maonyesho,Kuna watu wamezoea mpaka kiongozi aonekane anakagua miradi hata vyoo vya shule ndio mchapa kazi.

Wakati anaweza kugawa majukumu na kupata taarifa zozote anazotaka in "real time".

Hizo sio bahati mbaya tumezoezwa hivyo toka awamu ya Kwanza.
Hata ofisini Kuna fail kibao za kupitia na kutoa maamuzi.
Lakini kiongozi wengi wanajua nguvu ya video camera.

In Africa, If you want to get wealth without working for it at all, join African politics

" Lumumba"
 
Naaw! You just a little fucking bitch. You’re a whore. You ain’t shit.
GTFOH
Ur big boobs make u look old, the twenty-somethings look like frumpy middle-aged woman. Trust me, big boobs are curse. I don't know how I'll make u happy, anyway........
 
Huyu atafukuzwa muda siyo mrefu, hii siyo enzi ya dikteta aige kwa Anthony Mtaka
Ninachojiuliza, hiyo handing over note ameisoma saa ngapi ili aweze kujua kipi kipaumbele cha kufuatilia? Au ni business as usual?
 
Weka picha na video za utambulisho hapa tuone?

Tatizo lenu nyie watu Kila kitu mnakichukulia ki-hip hop tu, u-DC si usanii , kinahitaji maturity Ila nyinyi mnakichukulia usanii usanii tu.

So unataka kusema DC Kesha maliza Kisarawe yoote? Kakutana na madiwani, kakutana wananchi wote, kakutana na wakuu wa taasisi zote zilizopo hapo wilayani kwake?

Period
Hizo picha na video si ndio umesema huzitaki?
 
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.

Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.

Mama Samia kwenye uongozi tunaomba kuwe na vijana wengi kama hawa kwa kuwa wanaonyesha hali ya kufanya kazi kwa bidii kubwa sana. Pale ppanapotokea changamoto kwao wapate somo au namna bora ya kufanya kazi yao vizuri.

Mama Samia kwa pamoja tunakupenda sana Chapa kazi tupeleke nchi ya ahadi.

#kazi iendelee#

View attachment 1827568
Niki nakuhakikishia humalizi huu Mwaka ukiwa DC, kwa utoto wako huu lazima utaliwa Kichwa tu
 
Ninachojiuliza, hiyo handing over note ameisoma saa ngapi ili aweze kujua kipi kipaumbele cha kufuatilia? Au ni business as usual?
Wewe unajua masaa 24 yote anafanya nini?
 
Duh ina maana mnataka afanye kazi kimya kimya
Dunia ya leo mitandao,makameras ni muhimu

Wanajeshi,watu sahvi wakiwa vitani tu wana post matukio yao,sembuse kazi za dc

Ova
 
Duh ina maana mnataka afanye kazi kimya kimya
Dunia ya leo mitandao,makameras ni muhimu

Wanajeshi,watu sahvi wakiwa vitani tu wana post matukio yao,sembuse kazi za dc

Ova
Hawana akili hawa
 
Struggling , hungry, poverty stricken rap singer finally made it to the high table to join elite political cream of the crop through zero effort. No wonder some peeps are inclined to become infuriated of this very amazing phenomenon. You can become so mad and green of envy as you want, but this guy is as good a leader as everybody else out there.
 
Achape kazi aache kujiuza mtandaoni , kazi zitaonekana tu zitamtangaza sio kujitangaza , chema chajiuza kibaya chajitembeza .
 
Magufuli alikua anaua mitandao navyombo vyahabari mlikua mmebong'aa tu Leo oneni sasa mnavoitumia
 
Back
Top Bottom