Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Unataka waandishi wa habari wasifanye kazi yao ili uje kulalamika humu jf?
Kazi gani wanafanya na ma camera maana hata siee huenda kazi na kwa miradi without camera na Mambo yanaenda, it's like mchopanga alienda kukagua miti kama Ina mwagiliwa vizuri na ma camera nilicheka sana
 
Nimekupata ndg yangu Kiranga kuhusu usomaji wa vitabu, Ila mashaurini ndg DC aachane na habari ya publicity ambazo hazina impact , anatakiwa kutumia watalam zaidi ya kujiaminisha Kwamba yeye anaweza bila wao, so baada ya kutembelea hio miradi what is next.
Mtafute umuulize. Yeye ni public official.

Publicity unayoona haina impact wewe inaweza kuwa na impact kubwa kwa wengine.

Viongozi wana wajibu wa kuwapa wananchi taarifa wanafanya kazi gani.

Mimi naona tatizo kwa viongozi ambao wanajificha hatujui wanafanya nini.

Viongozi wanaofanya kazi kwa uwazi, hata wanapofanya vibaya, tunajua, kwa sababu wanafanya kazi kwa uwazi.

Nashangaa unapokemea uwazi.
 
Mkuu cariha kuna kitu unatakiwa ukinotice Tu..si unaona huu Uzi unavyotembea? Unajua Kwa nn?

Kabla hamjamponda jamaa kwamba anatembea na makamera sijui,tambua kwamba yeye ni habari kabla hajafanya Jambo lolote..nakuhakikishia Countrywide angepost hii habari Kwamba mkuu wa wilaya mwingine yeyote ametembelea miradi km hivi,Uzi ungekuwa na reply chache..wabongo tujifunze Tu ku-appreciate mwenzetu akiwa na kitu Fulani cha ziada tofauti na sisi
Sijaelewa hoja yako eti DC mwingine Sasa Niki ni msanii wa bongo fleva na hajawahi kuwa kwenye serious ofisi hii ni ya kwanza, so kila mahali anaona sifa na camera mbona hata ma slay queen huwa wanaji snap Sana tu.
Mbona Anton mtaka anaheshimika bila too much camera without show off.
 
Inawezekana ma camera yanamfuata yeye na yeye hayafuati ma kamera.

Hapo utamlaumu pia?
 
Enough with the boy, mama anamuangalia asije kupigwa ajua kama yule aliyetolewa huko kati. Mama hachelewi kukutengua na kuweka mwingine sio ishu. Enough sasa.
 
Kutembelea miradi sio utekelezaji, Jokate alibuni miradi, nae akabuni miradi sio kuvaa milegezo tu, aache kamera sasa afanye kazi.
 
Hata sasa hivi hizo show offs zinalipa.

Angalia hizo teuzi idadi ya watu kutokea kwenye media na showbiz. Ni wengi.

Huyo JoJo mwenyewe walimwengu wamekuwa wamekuwa wanampendekeza sana humu mitandaoni, kuwa ni mchapakazi kwamba kafanya wonders.

Sababu kubwa ni hizo camera na social media.
Sio show off zimelipa mfano mama kuteua watangazaji it's not about sijui Nini hapo ni kutaka kuweka media house mfukoni iwe ya mwendo wa ndio na mwendo wa ku praise kwa kwenda mbele, hyo ya wasanii ni kunyamazisha vijana ili kuonyesha vijana wanaguswa wakati tatizo la ajira kwa maelfu ya vijana uko palepale.
 
Mtafute umuulize. Yeye ni public official.

Publicity unayoona haina impact wewe inaweza kuwa na impact kubwa kwa wengine.

Viongozi wana wajibu wa kuwapa wananchi taarifa wanafanya kazi gani.

Mimi naona tatizo kwa viongozi ambao wanajificha hatujui wanafanya nini.

Viongozi wanaofanya kazi kwa uwazi, hata wanapofanya vibaya, tunajua, kwa sababu wanafanya kazi kwa uwazi.

Nashangaa unapokemea uwazi.
Tatizo la huu uwazi wa kibongobongo umejaa propaganda tu.

Ni sawa na kupaka rangi makaburi ya zamani.

Majaliwa alienda na makamera DART Mwendokasi akafokafoka, nenda pale uone kama kuna tatizo lolote alitatua.

Hata hao wanaotumbuliwaga mbele ya makamera huwa wanarudishwa kazini kimya kimya.

Majaliwa kwenda kufoka foka na makamera Wizara ya fedha, wewe jiulize hizo posho wameanza kulipana jana ?
 
Inawezekana ma camera yanamfuata yeye na yeye hayafuati ma kamera.

Hapo utamlaumu pia?
Sio kumlaumu some issues kwangu Mimi naona hayana msingi wowote, mfano kuangalia miti eti ka imenyweshea inaonyesha tu kuwa hawana kazi na hizi nafasi hata zikifutwa hazina umuhimu wowote ka Mambo yote yanafanywa na DED kwanini wakuu wa wilaya wasipate mda wakutembea na ma camera ka kina Kardashian.
 
Tatizo la huu uwazi wa kibongobongo umejaa propaganda tu.

Ni sawa na kupaka rangi makaburi ya zamani.

Majaliwa alienda na makamera DART Mwendokasi akafokafoka, nenda pale uone kama kuna tatizo lolote alitatua.

Hata hao wanaotumbuliwaga mbele ya makamera huwa wanarudishwa kazini kimya kimya.

Majaliwa kwenda kufoka foka na makamera Wizara ya fedha, wewe jiulize hizo posho wameanza kulipana jana ?
Angalau umejua Majaliwa alifokafoka lakini hakuna kikichobadilika.

Bila makamera usingejua alifokafoka.

Nakwambia hivi, hayo makamera ni mazuri hata kama ni ya propaganda tu.

Maana, kama ni ya propqgqnda tu, yatakuja ku prove kwamba ni ya propaganda tu.

Bila ya makamera unaweza kupigwa bila kujua unapigwa.
 
Sio kumlaumu some issues kwangu Mimi naona hayana msingi wowote, mfano kuangalia miti eti ka imenyweshea inaonyesha tu kuwa hawana kazi na hizi nafasi hata zikifutwa hazina umuhimu wowote ka Mambo yote yanafanywa na DED kwanini wakuu wa wilaya wasipate mda wakutembea na ma camera ka kina Kardashian.
Kwa hiyo issue ni Nikki anatembea na makamera au issue ni cheo cha Ukuu wa Wilaya hakina tija?
 
Nimekupata ndg yangu Kiranga kuhusu usomaji wa vitabu, Ila mashaurini ndg DC aachane na habari ya publicity ambazo hazina impact , anatakiwa kutumia watalam zaidi ya kujiaminisha Kwamba yeye anaweza bila wao, so baada ya kutembelea hio miradi what is next.
Kaabla ya kuwa DC alikuwa ni msanii mkubwa san na maarufu sana
 
Sijaelewa hoja yako eti DC mwingine Sasa Niki ni msanii wa bongo fleva na hajawahi kuwa kwenye serious ofisi hii ni ya kwanza, so kila mahali anaona sifa na camera mbona hata ma slay queen huwa wanaji snap Sana tu.
Mbona Anton mtaka anaheshimika bila too much camera without show off.
Huyo mtaka anaheshimika kwa nani? Kulipa watu wamsifie? File lake la aliyofanya simiyu lipo asubiri muda muafaka
 
Back
Top Bottom