Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Sio mbaya kufanya kazi kwenye media / kuuza sura ila mengi ya maendeleo huwa yanafanyika behind the scenes hakuna sababu ya Camera huenda kwenye ukaguzi watu wakaogopa Camera na kupewa majibu ya uoga, ila ndio hivyo politics zipo kila mahali siku hizi...
Kwa hiyo waandishi wasifanye kazi yao?
 
Kwa hiyo waandishi wasifanye kazi yao?
Kazi ni ku-report peke yake, kama ndivyo kwa Tanzania ni kipi cha ajabu kwa DC kutembelea miradi (sisemi kwamba hii sio habari, habari hio hata selfie ingetosha) mwandishi inabidi aende extra mile...., kama issue ni miradi (news ni miradi na sio nani amekwenda kutizama miradi) imekutwa vipi, ilikuwa wapi, ilitakiwa kuwa wapi na pesa ngapi zimetumika na zimetumikaje... (hizo ndio kazi za waandishi na sio tu kubonyeza kidude cha kamera)
 
Hivi katika nyimbo zake kuna nyimbo yoyote iliyokuwa inaendana na maadili?
Kasikilize hizi nyimbo kwa makini
  • Excellent
  • Good Boy
  • Kiujamaa
  • Bum Kubam
  • Sitaki kazi
  • Safari
  • Kihasara
  • Sweet Mangi
Kwa uchache tu sikiliza hizo nyimbo alafu rudi tena hapa
 
Kuteuliwa DC siku Moja kanenepa mashavu, hafu apunguze show off na makamera, hivi hawa ma DC huwa hawapewi hata seminar kidogo kabla ya kuanza, wasije fanya ya sabaya bure
 
Niki bana! Ushapata udc yanini kuendelea kujipigia debe zisizo na kichwa?kwahiyo ulipotembelea hiyo miradi ukatatua changamoto papo kwa papo au sio?
Nick cheo kina mdemsha vibaya Sana aisee, promo za Nini sasa, ajue miti mingi ule mrefu ndo huonekana mapema na kukatwa, apunguze kudemka
 
Back
Top Bottom