Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Jambo la kuigwa? How?
Yaan kufanya majukuu hako napo panahitaji debe?
Mwalimu akifundisha napo ni matangazo?
Punguza mbwembwe bwana mdogo
Jifunze kwa Rc Mtaka
Basi tukuige wewe
 
Huyo unayemueleza ni kilaza wa mwisho kabisa, hakuna lolote analojua
Hivi kwenye hizo picha umeuona mradi wowote ambao umetembelewa na DC?

Zaidi ya picha ya DAS wake mrembo ?
 
Eti hivi katika hizo picha umeweza kuuona mradi wowote zaidi ya sura ya DAS mrembo na DC wake?
Niki bana! Ushapata udc yanini kuendelea kujipigia debe zisizo na kichwa?kwahiyo ulipotembelea hiyo miradi ukatatua changamoto papo kwa papo au
 
Wewe unajua masaa 24 yote anafanya nini?
AMEKABIDHIWA OFISI NA NDANI YA MASAA 2 AMEANZA KUKAGUA MIRADI. HIZO NI KICK, ANGESUBIRI ASO,ME MAKABOIDHIANO AKUTANE NA WAKUU WAKE WA IDARAILI APATE ABC ZA WILAYA YAKE.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Muacheni dogo apige kazi, hii sasa ni kumuwangia mchana kweupe. Lol...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hatukatai kuwa yeye ni muimbaji lakini alikuwa anaimba Pumba. Mfano mzuri ni Prof Jay nyimbo zake hata akiteuliwa kuwa Waziri zinambeba.
 
Mpende mumeo dada
 
Eti hivi katika hizo picha umeweza kuuona mradi wowote zaidi ya sura ya DAS mrembo na DC wake?
Hawa bado wanaishi kwa propaganda na kuwarubuni wananchi wajinga tu.
 
Nikki kashaniomba vitabu vya uchumi kusoma najua ni msomi wa uchumi kwa maana ya kwamba anafuatilia mambo ya uchumi kuyasoma, regardless ya kasoma kozi gani.
Anafatilia mambo ya uchumi au economics ni moja ya core course development studies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…