Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari

Dah pole sana Basila upate nafuu haraka, ningelikuwa Tanga ningelikuja Bombo hapo...

Lakini mbona maeneo ya Hale hapo hakuna sehemu ya hatari zaidi ya kona kona zile chache...
 
Huyo DC achapwe matako yawe mekundu kwa kumuamrisha dereva kukimbiza gari
 
Namuonea huruma mh DC tu. Ushawahi kuona Toyota FJ Cruiser moja ina private plate BASILA? Ndio mashine ya huyu DC
Kna wakati alikuwa Ana push hammer

Hivi hammer hainaga mwendo ehh

Ova
 
Namuonea huruma mh DC tu. Ushawahi kuona Toyota FJ Cruiser moja ina private plate BASILA? Ndio mashine ya huyu DC
sijawahi iona kwani ndio hio walikuwa wana push?
 
gari za wakubwaa huwa zinaendeshwa mwendo wa 80 - 140 km/hr, anyway get well soon

Huu mbona ni mwendo akina sisi

Siku kaa road halaf kula nao ligi kidogo utaona jama kwenye kibao cha 50 wanaingia na 120.. kawaida mwendo wao n zaidi ya 140
 
Au anakuona na IST yako anakuletea umpishe njia.
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii ilitokea nikiwa na Brooh tunatoka Dom kuja Dar, tupo ndani ya IST jamaa alileta gari ili tumpishe na kawasha taa kabisa,
Ikabidi tuu tumpishe daah
 
Itakuwa wahuni wamempa body baada ya kuona anawaumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…