Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia


Kinachosababisha hayo ni kukosa Elimu na umasikini
Serikali ijenge chuo cha VETA na shule za Sekondari huko angalau vijana wengi wafike kidato cha nne na kuhudhuria mafunzo ya VETA. Miaka michache tu ijayo yote hayo yataisha. Ujinga na umasikini ni kitu kibaya sana!
Mtu masikini na mjinga ni vigumu sana kuwa na msimamo wa dini yeyote!
Umewahi kusikia Kilimanjaro wakiwa na ugomvi wa dini au kuchukia albino nk ni kwa kuwa wame elimika.
 
Haya Mafia ujirani wenu na Kiembembuzi unawachafua
 
Huwa nasema kuwa mashoga wote ni dini moja watu hawaelewi
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…