SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Angeacha huu upuuzi anaofanya hapa JF angeweza kufikiriwaLucas Mwashambwa hii fursa nayo ikikupita ndo basi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeacha huu upuuzi anaofanya hapa JF angeweza kufikiriwaLucas Mwashambwa hii fursa nayo ikikupita ndo basi tena.
Au labda atamuachia pacha wake TlaatlaahLucas Mwashambwa hii fursa nayo ikikupita ndo basi tena.
Kumbe kilikuwa kifaa.
😂😂😂 Lucas Mwashambwa ana-trot kuchukua fursa!Lucas Mwashambwa hii fursa nayo ikikupita ndo basi tena.
RIP ila...
Huyo pimbi hata balozi nyumba 10 hapewi.😂😂😂 Lucas Mwashambwa ana-trot kuchukua fursa!
Kweli Mkuu dah basi tu MkuuWatu wa Babati na arusha mtupe ukweli wa habari hizi
Ubonge unapendeza na kuheshimika sana machoni mwa wadau, lakini umebeba maradhi mengi kuliko vimbaumbau.
Apumzike mahala pema peponiMkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Ester Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu.
Taarifa kamili inafuata...