TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

Pole kwa wanafamilia. Aliugua saratani ya ziwa na alkua anaendelea vyema baada ya kukatwa titi. Mungu amlaze mahala pema peponi. Alikuwa mpambanaji Tena mwenye nidhamu
Cancer hatari sana

Ova
 
Mnamshukuru mama kwa lipi?
Kwani mengine mnamshukuru kwa lipi? Kwa sababu kila kinachotekelezwa ni fedha zetu kupitia kodi,misaada na mikopo ambayo sisi wananchi ndiyo tunaolipa kupitia kodi zetu ndiyo bajeti upangwa kulipa madeni kila mwaka.
Sasa nyie chawa wake mnamshukuru kwa lipi?
 
Yaani hata mimi nimekuwa chawa? Chawa ni mdudu mbaya sana anayependa kuishi kwenye uchafu! Ukiona kuna chawa maana yake hapo kuna uchafu! Mimi na uchafu tofauti kabisa!
 
Back
Top Bottom