TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

RIP, Pumzika kwa amani Esther.
 
Nitamkumbuka sana.. mwaka 2000 nikiwa kijana mdogo nilikuwa nikiwapeleka wadogo zangu shule asbh pale JUE JUNIOR ACADEMY iliyokuwa inamilikiwa na huyu mama mwendazake. Esther alikuwa mchapakazi sana. Ni miongoni mwa wajasiriamali wa mwanzo kwenye hizi biashara za english medium school. Kimsingi kabla hata ya ukuu wa wilaya alishashika pesa ndefu. Doa pekee nalokumbuka ni jina lake kutokea kwenye list ya Amatus Liyumba.
 
List ya Amatus liyumba!Mzee wa gari jekundu!
 
Reactions: Ame
HE has been.... Ngoja tukuelewe hivyo hivyo tu
 
Wanasiasa wote waliowahi kuongoza na waliopo madarakani wote wana njia zao za siri zilizowafanya wapate madaraka hayo. Hata ESTHER nae alikuwa nayo yake. all in all ahsante kwa utumishi wako uliotukuka ktk kulitumikia taifa hili,umeacha alama ambayo kamwe haitafutika. pole kwa familia,hasa watoto,mume,ndugu,jamaa,marafiki, wilaya yake ya kiutawala,wilaya yake ya nyumbani,mkoa,kanda na taifa kwa ujumla. hakika umeacha pengo na pengo lako halitazibika milele. RIP mama.
 
Pole kwa wanafamilia. Aliugua saratani ya ziwa na alkua anaendelea vyema baada ya kukatwa titi. Mungu amlaze mahala pema peponi. Alikuwa mpambanaji Tena mwenye nidhamu
Saratani ni zimwi....yani unakatwa nyonyo na bado haikuachi itakupa matumaini miaka 5 mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…