Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

Landcruiser Hardtop Mkonga imebomoka hivyo aisee huo mzinga na mwendokasi haikuwa wa kitoto
 
Inasemekana huyu mwamba ndo anaengineer kesi ya sabaya
 
Madude ya millioni 100!yanabomolewa namna hii,tatizo nchi hii misafara ni mikubwa inatumia pesa nyingi,
Yaani viongozi wanatumia pesa nyingi kwenye misafara kuliko msaada na huduma wanazotoa huko wanapoenda
Tutajie nchi zenye misafara midogo ili tuige huko mkuu...
 
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.

Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafala wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea Morogoro mjini leo Jumamosi, Agosti 14, 2021.

Mkuu wa wilaya pamoja na dereva wake wote wamelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.

View attachment 1892168

View attachment 1892169
Alikuwa na giggy money nini?
 
KATIBA MPYA NI MHIMU SANA. TUNAOMBA RAIS ATENDE HAKI. Kubambikia watu kesi si jambo la HERI kabisa.
 
Mama Dulvan mbona unamuwekea uzio sana mheshimiwa DC ,unaukubali sana uchapakazi wake? Au Kuna lingine ambalo atulijui [emoji120]

Sijamuwekea uzio Chief Sam

Ila watu wamekua wepesi mno kuhukumu wengine kwa makosa ambayo wanayafanya sana tuu ila gizani
 
Sijamuwekea uzio Chief Sam

Ila watu wamekua wepesi mno kuhukumu wengine kwa makosa ambayo wanayafanya sana tuu ila gizani
Ujifunze ku relax tu ,watz wengi si unatujua hamnazo
 
Wewe unamwona Giggy hafai kuwa memba wa familia yake.
Albert ni binadamu kama wewe na ni mwanaume kama wengine

Tofauti ni kwamba yeye anakutana na kina Giggy wakati wewe unakutana na kita Sikuzani

Alishatubu na kuacha na Familia yake ikamsamehe..... usitoneshe vidonda vya watu
 
Back
Top Bottom