Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

Gigy Money kawa mkuu wa wilaya indirect. Huyu mama ametuletea vitu vya ajabu sana.
 
Jamaa kapiga mzinga Dakawa mkoani Morogoro, ukiangalia maeneo ya Dakawa kuna ajali nyingi kwasababu ya kuovateki kibabe
 
Gigy Money hakuwepo hapo kweli maana ule mchezo wake naye ni kusababisha ajali kabisa unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…