Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

Pole yake, lakini hapo sijaelewa sioni gari ya DC naona toyota Hilux (DSP) na land cruiser (DFP)
 
No matter,hata wewe utakufa Tena kifo kibaya Sana kuwaliko unaowatamania wafe,

Shubamiti!!!
Hivi huwa mna akili za wapi?!Sasa unanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Unalinganisha kifo changu na kifo cha mwizi wa kura ambae analinyima Taifa zima haki?!Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?

Kama kuna vitu hujui ni vyema kukaa pembeni ili kuficha ujinga wako.Ujinga siku hizi umekuwa fashion hadi muwe mnakimbilia huku JF kuja kuuanika?
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu!!.... Hivi unaanzaje kugongana na gari jingine uso kwa uso wakati unapoendesha unaona mbele yako, kuna alama za barabarani kwenye lami na zile zilizoko wima kwenye mabango?.... Mbaya zaidi ajali inamhusu kiongozi wa wilaya!.
 
Hakuna kesi hapo. Akifa poa na akiwa kilema ashukuru miungu wake.
 
Albert ni binadamu kama wewe na ni mwanaume kama wengine

Tofauti ni kwamba yeye anakutana na kina Giggy wakati wewe unakutana na kita Sikuzani

Alishatubu na kuacha na Familia yake ikamsamehe..... usitoneshe vidonda vya watu
Kuna na mengine ameyafanya mabaya kuhusu binadamu wenzake. Kwani wao hawakuhitaji hutuma kama hii unaoitia hapa. Kabaya Zaidi wamepumzika. Acha kutetea usichokijua
 
Kuna na mengine ameyafanya mabaya kuhusu binadamu wenzake. Kwani wao hawakuhitaji hutuma kama hii unaoitia hapa. Kabaya Zaidi wamepumzika. Acha kutetea usichokijua

Wewe unatetea unachokijua?

Haya, endelea kuhumu wenzio kwa chuki zako
 
Wewe unatetea unachokijua?

Haya, endelea kuhumu wenzio kwa chuki zako
Mama akee kwa ubishi huu na kutetea kila mwenye kijani no matter what, Nina uhakika 1000% hata yale maneno aliyoyasema sabaya mahakamani kua alitumwa na muheshimiwa "mungu" nayo unayapinga.
 
Hii inji inaekea kusikojulikana mara utasikia uteuzi wake umetenguliwa kwa kushindwa kuepuka ajali
 
Mama akee kwa ubishi huu na kutetea kila mwenye kijani no matter what, Nina uhakika 1000% hata yale maneno aliyoyasema sabaya mahakamani kua alitumwa na muheshimiwa "mungu" nayo unayapinga.

Acha stress asubuhi asubuhi wewe. Unachofurahia haswa ni Alberto kupata ajali au ni chuki ya kwamba Alberto ni mwana CCM?
Na umuombe Mungu wako akuondolee moyo wa chuki kwa usiyoyajua na ujifunze kutenganisha siasa na utu wa mtu
 
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo
Pole yake
 
Acha stress asubuhi asubuhi wewe. Unachofurahia haswa ni Alberto kupata ajali au ni chuki ya kwamba Alberto ni mwana CCM?
Na umuombe Mungu wako akuondolee moyo wa chuki kwa usiyoyajua na ujifunze kutenganisha siasa na utu wa mtu
Psychologically wewe ulietaja neno stress kwenye haya mazungumzo ndio Una stress. Kwanza bi mdada hata hujui niko nchi gani unasema asubuhi. See where the problem lies?! Au Jf iko Dar pekee na Tandahimba?

Kingine sijataja CCM kwa andiko langu. See how deep the problem is?

Kuongezea, Muovu yeyote awaye, awe CCM, CaF, Cuf, Mujahedeena, Teja, Chakubanga akivunja haki za binadamu za kuishi si wakumchekea chekea.

Mpk Sasa sijaweka wazi ktk maandishi yangu kua nimefurah au sijafurah ila nili quote post yako ya mwanzo nikakujibu accordingly. period

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…