TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Kichwa chako kimeoza kama cha TL aliyehadaiwa kuichafua nchi yake kimataifa kwa maslahi ya Wakoloni ili tu ionekane Serikali ya awamu ya 5 haiheshimu haki za Binadamu wakati aliko hakuna mtu anyeweza kuitukana nchi yake kimataifa.
Umekera saaana na umeudhi sana na uloyojiombea soon utayapata. Mungu hadhihakiwi
Hili dude halina muamana, halikawii kumrukia magu, endeleeni kumtukana mamba!!
 
View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.

Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.

Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.

View attachment 1431934

Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.

Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.

2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.

Stay tuned...
R.I.P mate wangu..
 
Habari za hivi karibuni zinasema kua Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Wakili Evod Mmanda hatunae tena duniani
 
Attachments

  • IMG-20200427-WA0010.jpg
    IMG-20200427-WA0010.jpg
    75.5 KB · Views: 1
View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.

Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.

Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.

View attachment 1431934

Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.

Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.

2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.

Stay tuned...
Pole kwa familia yake na ndugu zake.
RIP Advocate Mmanda.
Cause of death please and how many people will participate during a burial ceremony?
 
Kichwa chako kimeoza kama cha TL aliyehadaiwa kuichafua nchi yake kimataifa kwa maslahi ya Wakoloni ili tu ionekane Serikali ya awamu ya 5 haiheshimu haki za Binadamu wakati aliko hakuna mtu anyeweza kuitukana nchi yake kimataifa.
Umekera saaana na umeudhi sana na uloyojiombea soon utayapata. Mungu hadhihakiwi
Kuna mchafuzi zaidi ya yule anayepiga risasi viongozi wa wananchi, wakikusanyika kumuombea wanatawanywa kwa risas na tear gas, wakikusanyika kujitolea damu kwa wagonjwa wengine ili kumuenzi wanakamatwa na damu kumwagwa. Zaidi hakuna uchunguzi unafanyika, wanaishia kumnyang'anya ubunge kwa hila.
Mungu anawaonyesheni kwa ishara mbalimbali mnajifanya ninyi ni mashabiki vipofu na msioambilika.
Subirini ile kubwa kuliko, imeshafika
 
Back
Top Bottom