TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

R.I.P mmanda,nakumbuka last time nmekuona mapembe bar,(Memory) kutafuta wapambe kwa ajil ya kura z kupitishwa kugombea ubunge jimbo la rombo,lkn kutokana na unselfish ulikuwa nao ukapigwa chini.
 
Rip Wakili msomi Mmanda
johnthebaptist RIP, kila mmoja ataubeba mzigo wake. Nadhani aliteuliwa na Jiwe baada ya kuona anafaa kwa "kazi yake". sasa huko aliko Jiwe, Polepole, Bashiru hawapo. Anapambana peke yake na Mungu wake kwenye hukumu ya haki, bila kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumu wala utakatishaji fedha! TENDA HAKI NA MTABARIKIWA . RIP
 
Usihukumu watu usiowafahamu mkuu, hakuna mkuu wa wilaya ambaye hakuwa na matatizo na wananchi wake kama huyu..

Wananchi wote wa wilaya ya Mtwara wamehudhunishwa na kifo chake kwakuwa hakuwa muonevu..
 
Back
Top Bottom