citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
R.I.PRIP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.PRIP.
Wapi nimefurahia?Acha siasa kwenye mambo ya misiba inashiria kwamba pengine umefurahia kifo chake kwa itikadi za kusiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu imeshaelezwa alipata changamoto ya upumuaji,sio korona mkuu.Hivi idadi ya waliokufa kwa Covid-19 bado 10 tu!?
Ameonea wengi, amefia kwenye genge dhambi. Acha akapate hukumu ya haki.
Bahati yake nzuri alitubu jana!
mama yako anajua kama mimi ni mwema au siyo mwema! Ni mama yangu hivyo ananifahamu sanaWewe huna tofauti na mnyama wa porini.
johnthebaptist RIP, kila mmoja ataubeba mzigo wake. Nadhani aliteuliwa na Jiwe baada ya kuona anafaa kwa "kazi yake". sasa huko aliko Jiwe, Polepole, Bashiru hawapo. Anapambana peke yake na Mungu wake kwenye hukumu ya haki, bila kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumu wala utakatishaji fedha! TENDA HAKI NA MTABARIKIWA . RIPRip Wakili msomi Mmanda
Una uhakika ameonea yeyote??Ameonea wengi, amefia kwenye genge dhambi. Acha akapate hukumu ya haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Kawaida ni kama sheria. Kuwa katika serikali hii lazima uwe na uwezo wa kuonea watu/kutotenda haki, ndiyo sifa kuu!Una uhakika ameonea yeyote??
Au ukiwa tu CCM wewe ni mwonevu??
Msikilize jafo ,,anasema alilazwa Kwa changamoto ya upumuajiHaters watasema ni corona....RIP DC
Usihukumu watu usiowafahamu mkuu, hakuna mkuu wa wilaya ambaye hakuwa na matatizo na wananchi wake kama huyu..johnthebaptist RIP, kila mmoja ataubeba mzigo wake. Nadhani aliteuliwa na Jiwe baada ya kuona anafaa kwa "kazi yake". sasa huko aliko Jiwe, Polepole, Bashiru hawapo. Anapambana peke yake na Mungu wake kwenye hukumu ya haki, bila kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumu wala utakatishaji fedha! TENDA HAKI NA MTABARIKIWA . RIP