Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
ukiachana na tunnel vision utaona sijakosea.R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiachana na tunnel vision utaona sijakosea.R.I.P
Itatesa ukoo wako!Wakati mnaua Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo hamkuona kwamba huo pia ni unyama kama wa mnyama wa porini, eeh? Hii chuki mliyoieneza dhidi ya Watanzania itawatesa milele, shenzi ninyi.
hakuwa Kamanda huyu Mwanasheria, maana kipindi hicho Selasini na Saanane ndio waliochuana uteuzi wa CDM,Dah...Kamanda katuacha...!! Nenda kalale peponi Kamanda Mmanda
anza post #! utazikuta kibaoR.I.P. Mmanda. Tunaomba angalau picha
Unashindwa kujiongenza ?Wachaga wakose pesa za kusafirisha ndugu yao ?
Umeanza na wishi kuwa haki itendeke kwa Marehemu kuwekwa anapostahili, alafu unamalizia na Wish Isiyozingatia haki ya kumtaka Aangaziwe mwanga wa milele na apumzishwe kwa Aman......Mungu amuweke anapostahili
Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Rip Wakili msomi Mmanda
Hivi huoni jinsi MANYANG'AU yanavyopuputika eti? Hiyo ni laana tosha, malipo ni hapa hapa duniani.Itatesa ukoo wako!
kwa hizo sentensi umeunganisha dots and lines ukapata = C-O-V-I-D-19..............It's better tuendelee kuassume hivyo hivyo, kwa maana hofu nayo inaua 🤣 🤣. WATCH OUT?Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...
Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia
Kazi kweli kweli!
Hivyo tu, unazima mada!
Hapana.Watanzania ni Watu wa majungu na umbeya
Kwani vifo vimeanza mwaka huu ?
Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo NtwaraKafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...