TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Wakati mnaua Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo hamkuona kwamba huo pia ni unyama kama wa mnyama wa porini, eeh? Hii chuki mliyoieneza dhidi ya Watanzania itawatesa milele, shenzi ninyi.
Itatesa ukoo wako!
 
Mungu amuweke anapostahili
Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza na wishi kuwa haki itendeke kwa Marehemu kuwekwa anapostahili, alafu unamalizia na Wish Isiyozingatia haki ya kumtaka Aangaziwe mwanga wa milele na apumzishwe kwa Aman......
Vema Chagua moja kati ya Hizo mbili.
 
Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...

Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia

Kazi kweli kweli!
 
Watanzania ni Watu wa majungu na umbeya

Kwani vifo vimeanza mwaka huu ?
 
kwa hizo sentensi umeunganisha dots and lines ukapata = C-O-V-I-D-19..............It's better tuendelee kuassume hivyo hivyo, kwa maana hofu nayo inaua 🤣 🤣. WATCH OUT?
 
ID ya tarehe 27/04/2020.

Nachelea kujadili jambo nawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo tu, unazima mada!

Kuna wenye akili 'polepole' nao itafika mda spidi yao ya kufikiri itawaruhusu kujua 1 + 1 = 2.

Hata ikibidi kushikiwa vidole kuthibitisha hilo!

Uzuri ni kwamba, hata hiyo serikali inao watu wenye akili za 'polepole' kama hao hapo walionukuliwa.
 
Watanzania ni Watu wa majungu na umbeya

Kwani vifo vimeanza mwaka huu ?
Hapana.

Ni majungu na umbeya ndiyo yaliyoanza mwaka huu.
Kwa kawaida sijibu hoja za watu wa aina yako, lakini hili nilishindwa kujizuia.

Sijui kama utaelewa nilichoandika hapo!
 
Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...

Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia

Kazi kweli kweli!
Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara

Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.

Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.

Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia
zhivotnye-pustyni-opisaniya-nazvaniya-i-osobennosti-zhivotnyx-pustyni-44.jpg
zhivotnye-pustyni-opisaniya-nazvaniya-i-osobennosti-zhivotnyx-pustyni-45.jpg

Jr[emoji769]
 
Hamkuzingatia usemi wa mzee wetu wa awamu ya nne?
Za kuambiwa, changanya na zakwako.

Hayo mambo mengine tuwaachie wanoajua zaidi.
 
Atazikwa na serikali na watu wasiozidi kumi.
Jana tumemzika Mama mmoja, aliugua kwa zaidi ya miaka kumi.

Mazishi yake hayakusimamiwa na serikali, Wala wazikaji hatukuwa kumi.
Hi serikali mbona inaeleweka vyema kabisa?
 
Back
Top Bottom