Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Haya mambo moaka lini? Utwana na watwanaSiasa za Tanzania.
DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza.
Accountability imefikia hukuView attachment 3156991
Wameandaa maigizo yao!
Ikibidi lakini sidhani anavutajiri wa kura lukuki kwa haya ayafanyayo!Mama sijui atapiga magoti kutuomba kura?
Halafu huyu mwanamke waziri alimpora mwalimu kule pangani.Waziri ni mume
Mkuu wa Wilaya ni Mke
Michezo hii
Ni mke na mume hayo ni maigizoKama watu walilala chini sembuse huyo kupiga magoti
Atakuwa hajafika home kitambo mama naye ni binadamu anasikia hamu, mwamba ana wake watatuNa usiku ampigie magoti tena kesho tu maji yanafika.
Huyo DC ni mke wa Aweso hayo ni maigizo tupuHuyo kama ni mke wangu, akitoka hapo anakutana na talaka tu...🤨
Hii nchi imekua na mambo ya kinanii sana yani...🙁