Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

Snapinsta.app_461054338_545471604565975_8071883766470126917_n_1080.jpg
 
Yaani katika vitu ambavyo uwa sichobokei ni mabosi kuna kipindi alikuja president wa kampuni all the way from state yaani tulikuwa tunapiga story hadi tunagonga ad mabosi zangu wengine wananiangalia mara mbili mbili mi sina habari . Sasa hii ni kuonyesha uwezo mdogo kiongozi nafikiri darasa la shule ya uongozi la polepole lingeendelezwa kupunguza kadhia kama hizi
 
Kwani huyo waziri pesa ya mradi wa maji anatoa mfukoni kwake mpaka apigiwe magoti?
 
Siasa za Tanzania.

DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza.

Accountability imefikia hukuView attachment 3156991
Huko ni kujidunisha ni majukumu tena ya msingi kwa sirikali kuhahikisha huduma za msingi zpina mfikia kila mtu bila kuombwa wala kubembelezwa.Imeshindwa japo watoe sababu kwanini na je bado wanafaa kuaminiwa au kazi imewashinda.
 
Back
Top Bottom