Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

Hivi mtu au watu wanaweza kuanzisha nchi yao wenyewe hata kule kwenye jangwa la Sahara au Karahali?
 
DC wa Muheza Zainab Abdallah akimpigia magoti Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Awesu ambaye ni mume wake awaletee maji Muheza

1732118933537.jpeg
 
Amefedhehesha cheo cha mkuu wa wilaya kwa maono yangu,kulikuwa kuna haja gani ya kufanya hivyo kwakweli

Halafu katika maisha halisi ya ndoa unaweza kuta haonyeshi heshima kihivyoooo
 
Back
Top Bottom