TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

COVID hebu tuache kwanza tupumue lah....
 
DC kaugua kwa muda mfupi; naomba mniache niweke ujumbe wa vifo vya Ndassa, Mahiga na huyu DC wa Nyang'wale. Hawa wamekufa baada ya KUJIFUKIZA NA KUBANWA PUMZI.

Kujifukiza kunaua watanzania tena wenye vyeo wamefuata ushauri mbovu wa Rais Magufuli. Tunamaliza watanzania wenzetu aslani.

Tumewapoteza wafuatao kizembe kabisa baada ya kuharibu njia za hewa kwa kukifukiza.

1. Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera Bwana Pendo
2. Mbunge Richard Ndassa
3. Waziri Dkt. Mahiga
4. Huyu DC wa Nyang'wale

Pia kuna jopo la watu kibao wamenusurika kufa kutokana na janga hili!
 

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi. .


Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Inna Lilahi Wainna Ilayhi Rajiuun
Mwe nzetu katangulia ,
Kazi kwetu tuliobakia,hatujui lini na wapi na kifom cha aina gani kitakua.
Kila Nafsi itaonja Mauti.
 
Back
Top Bottom