TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Mkuu kwa hili wacha nikupinge, sijui umezaliwa na Kukulia mazingira gani lakini wenzio tumekuwa tukitumia tiba hii miaka na miaka
Kujifukiza kunaua watanzania tena wenye vyeo wamefuata ushauri mbovu wa Rais Magufuli. Tunamaliza watanzania wenzetu aslani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana kwa msiba wafiwa ,ndugu,jamaa na marafiki.

Kigogo amesemaje?
 
Acha kupotesha Dc huyu alikuwa akisumbuliwa na kisukari ni wiki sasa alikuwa akisumbuliwa na kisukari icho kwa siku za karibuni kikawa kimezidi kupanda mpaka kufikia 29 ambapo ndio kimepelekea na kifo chake na siyo hiyo korona au kujifukuzia kama unavyo danganya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nawe unatudanganya, tuache vipi kumuamini mtoa post tukuamini wewe
 
Back
Top Bottom