TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Ni muda muafaka sasa Mkoa wa Geita wauweke karantini. Alianza kufariki Hakimu na sasa amefuata DC anayehudhuriaga na kuongoza vikao vya ulinzi na usalama vya wilaya
 
Kujifukiza kunaua watanzania tena wenye vyeo wamefuata ushauri mbovu wa Rais Magufuli. Tunamaliza watanzania wenzetu aslani.

Tumewapoteza wafuatao kizembe kabisa baada ya kuharibu njia za hewa kwa kukifukiza.
1. Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera Bwana Pendo
2. Mbunge Richard Ndassa
3. Waziri Dkt. Mahiga
4. Huyu DC wa Nyang'wale

Pia kuna jopo la watu kibao wamenusurika kufa kutokana na janga hili!
Kama ni ugonjwa tuseme tu, ila hiki ulichoandika ni uongo mkuu.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mdogo mdogo mtoa roho anakaribia kwenye mamlaka ya uteuzi.
Kwa sasa wateule kwanza.
Wewe ni mkristo? Kama ndio, imeandikwa, "Usimlaani mfalme, la, hata kwa wazo lako, maana ndege wa angani watalipeleka."
 
Back
Top Bottom