TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Huku kijijini kwetu jamanii,,Chonde Chonde isiwe covid 19..makee ukoo wangu mzima upo huko,,na two weeks mshua alikua na huyu Mheshimiwa! ....gademit
Ni Corona mkuu. Take it ease mwambie asijifukize kama huyu DC. Akipata dalili aishi kikawaida afanye mazoezi na vile vi dubuwasha sijui mchai chai vya kujifukiza yeye atumie kama kimiminika.
 
Naona Sasa mjomba at are place viongozi had I atachoka,,, maana Sir makapuku ndo hatujulikani
 
wakuu, kuna taarifa DC wa wilaya ya nyang'hwale mkoani Geita Hamim Buzohera Gwiyama amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi..
 

Attachments

  • 949fb247-614a-4de8-aa8c-449b5f7fff82.jpg
    949fb247-614a-4de8-aa8c-449b5f7fff82.jpg
    50.8 KB · Views: 1
Siamini mpaka nione kapangiwa mtu mwingine hiyo nafasi.
 
Tunakumbushwa kuwa kumbe mamlaka ya kidunia yana mwisho, nenda salama DC Buzohera!
 
Back
Top Bottom