TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Acha kupotesha Dc huyu alikuwa akisumbuliwa na kisukari ni wiki sasa alikuwa akisumbuliwa na kisukari icho kwa siku za karibuni kikawa kimezidi kupanda mpaka kufikia 29 ambapo ndio kimepelekea na kifo chake na siyo hiyo korona au kujifukuzia kama unavyo danganya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu covid -19 ni homa na wengi walio hatarini ni ambao wapo na magonjwa kama kisukari na mengine makubwa kubwa,so covid ndio inakuwa sababu ya kifo kwa maana ya kuwa ndio inakuwa inapelekea kifo baada ya mgonjwa kuwa na magonjwa mengine.
 

Attachments

  • BD3A0213-E5FE-47A3-9C22-7534B1CFAEF3.jpeg
    BD3A0213-E5FE-47A3-9C22-7534B1CFAEF3.jpeg
    77 KB · Views: 1
Corona anaenda kwa minyato kula kichwa Chato, safiii sana hii. Tutapumua kwa kweli.
 
Back
Top Bottom