Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Hii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P
Nakubaliana na wew kuwa ni wivu na kuna watu wamejipanga ili asitokee tena kweny udc

Yule katot ni malaya tu hakn mwanafunzi pale
 
Sema hii hata kama kampiga ila kuna namna DC wanamfanyia yamuangukie zaidi
 
Jamaa hajachuliwa hatua stahiki hadi Leo kama Yule mwalimu wa kyerwa.

Ndio ujue serikalini Kuna double standard.

Na zaidi kahamishiwa wilaya nyingine.

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom