Kama hadi sasa haijatolewa taarifa rasmi juu ya tuhuma za DC Simon Simalenga basi yawezekana zilikuwa ni siasa chafu tu
Kama hivyo ndivyo basi siasa zetu zimefika pabaya
Nakumbuka mbunge George Mwenesongole gari yake iliharibiwa na maradhi zake wa kisiasa huko huko mkoani Songwe
Hapo upinzani hawahusiki,
Jiulize tangu LINI TBC WAMEANZA KUJILIPUA Kwa taarifa kama hiyo? Taarifa kama hiyo tulitegemea tuipate clouds au ITV na siyo TBC!!! Mwananchi shituka😂😂😂😂😂😂
Halafu kabinti kamefungwa bandeji usoni🤣🤣🤣Hapo hapo mama mtu anasema alimkuta kavimba mashavu😂😂😂😂 Sasa kuvimba mashavu na huo MBANDEJI uliofungwa kisanii Kwenye jicho wapi na wapi???
Halafu et Binti kapasuliwa jicho au kaumizwa jicho halafu anaongea mkavu huku akionekanika Hana hisia ya maumivu yoyote inawezekana uumizwe jichoni halafu upate nguvu za kuongea namba hiyo bila kugugumia Kwa maumivu😂😂😂😂😂
Et waliitwa na DC Wenzake wakaogopa yeye akajifanya Majaliwa akaenda Kwahiyo anataka kujifananisha kama Majaliwa WA kike !!!
Halafu et baada ya kupigwa akaenda nyumbani wazazi hakuwakuta Siku hiyo akaamua kulala HADI Kesho yake wazazi walipokuja wakampeleka Hospital🤣🤣Hivi maumivu ya jicho ANGEWEZA kulala kweli? Hivi Hana ndugu WENGINE hadi asubulie wazazi wake? Hata Majirani? Na hapo nyumbani ALIKUWA amebaki na nani ambaye alishindwa kwenda kuomba msaada Kwa Majirani??
Na kama anavyotaka kutuaminisha kuwa kapasuliwa jicho aliwezaje kurudi kutokea eneo la tukio hadi nyumbani bila hata kuulizwa na watu umefanyaje na kumpa msaada WA kwenda hospitali?
Halafu tuwe wazi ,TBC TANGU LINI WAMEANZA kutangaza taarifa kama hizi ? Taarifa kama hii ilishazoeleka huwa zinatokea Kwenye ITV na Clouds Sasa Kwa mara ya kwanza et TBC wanatangaza!!!!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ogopa sana vikao vya wapika majungu na wakaanga sumu wakikukalia kikao😀😀😀
Taarifa za KUBUMBA hizi, Nitakuwa mtu WA mwisho kuziamini!!!
Et mama kamkuta mwanaye kavimba mashavu!! Sasa na huo MBANDEJI KWENYE jicho umefuata nini badala ya kuweka Kwenye mashavu anakodai ALIPIGWA?