Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Kama hadi sasa haijatolewa taarifa rasmi juu ya tuhuma za DC Simon Simalenga basi yawezekana zilikuwa ni siasa chafu tu

Kama hivyo ndivyo basi siasa zetu zimefika pabaya

Nakumbuka mbunge George Mwenesongole gari yake iliharibiwa na maradhi zake wa kisiasa huko huko mkoani Songwe
 
Kasome taarifa ya Waziri wa Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Dr Doroth Gwajima.

Kakiri wazi kuwa kuna swala hilo na ameagiza wataalam wa maendeleo ya Jamii kwenda huko.
 
Huyo ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe ama ni BAUNSA wa Wilaya ya Songwe?

Mama atutafutie DC huyo Baunsa akakae Mahabusu kama Jenerali!
 
Hatuwezi kuwa tunavumilia watu na viongozi kuchafua chama cha mapinduzi...TIsS wapo wapi kutoa taarifa
 
Kama hadi sasa haijatolewa taarifa rasmi juu ya tuhuma za DC Simon Simalenga basi yawezekana zilikuwa ni siasa chafu tu

Kama hivyo ndivyo basi siasa zetu zimefika pabaya

Nakumbuka mbunge George Mwenesongole gari yake iliharibiwa na maradhi zake wa kisiasa huko huko mkoani Songwe
BASI ATAKUWA ANACHEZEWA NA WAZIRI GWAJIMA AMEPELEKA TUME IMEMPA MAJIBU ACHA KUTETEA UHUNI
 
Back
Top Bottom