Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Sawa daktari wa jf, naomba uthibitisho wa maandishi kutoka kwa daktari kuonyesha mhanga alipigwa ngumi
Na atupe uthibitisho wa kijiografi kama ni injinia na atupe uthibitisho wa kimahakama kama ni mwanasheria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asituchanganye na status za watu ambazo unazivua ukija jf. Kiufupi jf ni kama hekalu ukija unaacha masampula yako hukooo na kukaza fuvu[emoji23][emoji23]
 
Mitoto haina adabu, litakuwa lilikuwa na kosa la kinidham likamjibu kunya dc ndo akalishikisha adabu.

Huyo dc apandishwe cheo na kuwa rc
Ujinga nchi hii kwisha ni ngumu sana.

Kwamba mtu akikujibu vibaya basi reaction yake ni kumtindua ngumi?

Elimu elimu elimu.

Kwa mujibu wa sheria hata kama huyo mtoto ndo alimjibu vibaya lakini huyo mtoto akiwahi kumshitaki basi kesi inakuwa mbaya upande wa mshtakiwa.

Na utetezi kwamba nilimpiga kwasababu alinijibu vibaya is irrelevant.

Two wrongs cannot make right.
 
Kama kweli amempiga,lazima kuna sababu nyuma yake

Ova
Hata sababu iweje huwezi kujibu kwa kipigo.

Mkuu vitu vingine sio lazima uwe na taaluma ya sheria kubaini kosa la kumrudishia mtu kipigo hata kama yeye ndo alianza kukupiga.

Unless uwe na utetezi wa self defence kwamba kama sio kujitetea kwa namna hiyo basi angepata madhara makubwa ya mwili.
 
Sawa daktari wa jf, naomba uthibitisho wa maandishi kutoka kwa daktari kuonyesha mhanga alipigwa ngumi
Kwa hiyo ukilawitiwa na walawiti wakakimbia bila wewe kuchukua ushahidi utakuwa umelawitiwa au hujalawitiwa? Nijibu tafadhari
 
Umenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Alifikiri bado yupo kwenye utawala wa Magufuli. Angepandishwa na cheo.
Kuna mgawanyiko wa kazi kwahiyo kila mtu afanye kazi aliyopangiwa na pia afuate sheria.
Huyo DC akiachwa atakuja kuwa kama Sabaya.
 
Back
Top Bottom