Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Hii haikubaliki kabisa. Hana huo uhalali wa kumpiga huyo msichana kwa vyovyote vile tena kwa mangumi. Mimi na bangi zangu siwez famya hivyo.

Ngoja nimgoogle hiyu DC. Aibu aibu kabisa.

Mama nakuomba mtumbue haraka sana huyu jamaa. Kaweka doa kwenye serikali yako.
Kama kampiga mangumi kakosea, msichana huyo angempiga kofi tu basi, ikiwa alimvunjia heshima kwa kiwango kikubwa.
 
Mmmhh, yaani akaenda kulala badala ya kwenda hospitali au kuomba msaada wa dawa za maumivu? Na hili bandage alifungwa kwa ajili gani? Alivuja damu? Mbona haoneshi kuvimba! Sitetei ukatili wa aina yoyote ile ila...Something is wrong somewhere!
kama umesikiliza maelezo yake anasema wazazi wake hawakuwapo nyumbani, hospitali ni gharama unadhani angetibiwa bure?
 
Leteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchochezi
Tulia wewe!
Screenshot_20221206-161020.png
 
Back
Top Bottom