Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini kwenye michezo specifically boxing kwa nini wanawake hawapigani na wanaume? Au hujui kuwa kimaumbile wanawake ni weaker kuliko wanaume? Hivi mkeo akikukosea unampiga ngumi kama unavyopigana na mwanaume mwenzako?ME unasemaje? Hoja yako ni ipi hapo?
Malenga ni MajiMtoa mada Analogia Malenga na DC ni ndugu mbona majina yanaelekeana
Nitaelewa tu andiko hili hadi pale utakpokuwa umetumia tamathali za semi (sarcasm)Hii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P
Keshatema cheche tayariKesho mapema asubuhi utamsikia Dr Dorothy Gwajima
Huo ndo ukweli. Hakuna aliye juu ya sheria. Iweje mtu ajeruhiwe halafu tunakimbilia jukwaani kupiga kelele kana kwamba ndipo kunakopatikana Haki?Hii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P
Duh.........!Unaripoti kupigwa, mradi kupigwa tu?. Unatakiwa useme mtoto ameumia kiasi gani?
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Angekuwa ni mtoto wako ungefurahia hayo?Acha atandikwe pengine amemjibu vibaya mkuu wetu wa wilay
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Propaganda tu hzo sion Kama Kuna mtu aliyepigwa hapo
Na atumbuliwe kweri kweri !! Inaonyesha alikuwa amekataliwa !! Mwambieni akampasue jicho mtoto wake kama ana watoto !!Habari ikimfikia mama, mkuu wa wilaya anakuwa mtanzania mwenzetu
Yani anampiga mtoto, tena mtoto wa kike kwenye utawala wa Rais mwenye jinsia ya kike?
Jamaa linajifanyaga very serious, intelligent kumbe kichwani hamna kitu..
Kweli unamalizana naye huko huko aliko !!Umpige mwanangu, taarifa ambayo ingefika JF ni nyingine kabisa