Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Namuombea Moyo wa Uvumilivu Mhe.Simalenga awe mwenye uvumilivu haya mambo ya Nafasi za Kisiasa yana viini macho vingi. Aombe sana na kumshukuru Mungu kwa yote yanayotokea naaamini Mwenyezi Mungu atamvusha salama.
 
Sina mb...
Hapo sawa. Clip inasema, mkuu wa wilaya aliwakuta wanafunzi wamekaa katika jukwaa fulani hivi. Nadhani kulikuwa na event ya michezo. Sasa yeye hakufurahishwa na kitendo hicho. Sasa alipowaita wanafunzi, wengi waliogopa ila huyo muhanga ndiye aliyejitolea kwenda kutoa maelezo, ndipo akapokea kichapo hicho.
 
Safi sana na kesho asubuhi atakuwa raia kama sisi mpumbavu
 
Hapo sawa. Clip inasema, mkuu wa wilaya aliwakuta wanafunzi wamekaa katika jukwaa fulani hivi. Nadhani kulikuwa na event ya michezo. Sasa yeye hakufurahishwa na kitendo hicho. Sasa alipowaita wanafunzi, wengi waliogopa ila huyo muhanga ndiye aliyejitolea kwenda kutoa maelezo, ndipo akapokea kichapo hicho.
Na utu uzima wako unaona mtiririko wa matukio upo sahihi kabisa..?
 
Back
Top Bottom