Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.

View attachment 2437142
Ndio faida ya kuteuwa Viongozi wasio maadili na kulipana fadhilaa na watu wasiokomaaa kiakiliii .enzi za BENJAMIN MKAPA WENYE KUPEWA NAFASI NI WATU WALIOKAA UTUMISHI WA UMMA WENYE UZOEFU WA MDA MREFU

Siku izi okotaokota tuu ilimradi uwe na mwanachama wa CCM na uwe na domo kayaaaa
 
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.

View attachment 2437142
Matokeo ya kupeana vyeo kwa hisani ya kufutana machozi.

Matokeo ya kulifanyia uhalifu Taifa kwa kuiba kura kipindi cha uchaguzi.


Matokeo ya taasisi kufanya vetting kumridhisha malkia wa nyuki ili afanye teuzi

Mungu ameshaachana na CCM na sasa wanafanya mambo kama mnyama asiye na kichwa
 
Aandaliwe pambano azichape na Mandonga.

CC: Promota Lt Suleiman Semunyu.

CC:Mo Boxing.

 
Mitoto haina adabu, litakuwa lilikuwa na kosa la kinidham likamjibu kunya dc ndo akalishikisha adabu.

Huyo dc apandishwe cheo na kuwa rc
U RC tu? Kwa nini asiwe katibu kiongozi wa rais ili amshikishe adabu? Maana akili kama zako zinazidi kushika kasi kwenye hii jamii, nafikiri akimshikisha adabu rais, labda ndio utazinduka kuwa ni kosa analofanya!
 
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.

View attachment 2437142
 
Mtoto amepigwa akakaa nyumbani siku mbili bila kupata matibabu, siku ya tatu wazazi wake wamerudi ndio wakampeleka kufunga bandeji. Lakini mtoto alivimba mashavu kwa maelezo ya mama yake lakini kafungwa bandeji jichoni. Mwanafunzi anamiliki simu, mtoto kaumia serious hata majirani wanashindwa kuwataarifu wazazi wake ili apate huduma. Picha limebuma
 
Tatizo lipo kwenye vetting!!

Unateua msanii bila kujali maadili aliyonayo kiuweledi unadhani ata deliver!!?

"Ccm tafuteni watumishi wa umma wenye maadili walioitumikia serikali walau kwa miaka walau sita na kuendelea na sio kuchukua watu mitaani kisa wanaonekana kwenye tv!!
 
Back
Top Bottom