Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Hii habari naitilia shaka kuwa imepikwa au imetiwa chumvi na wabaya WA DC,Na inaonekana Kuna mtu nyuma anawafundisha namna ya kumchafua DC,

Mtoto anasema walikuwa wamekaa Kwenye jukwaa DC akawaita wote ,Wenzake wakaogopa yeye akaenda !!! Ujasiri huo aliutoa wapi? Na kwanini Wenzake waogope yeye pekee ndo aende?

Halafu anasema hamjui DC wake !!! Na DC ALIKUWA Kwenye gari lake na bila shaka linakuwaga na benders ya Taifa lakini yeye anasema hakumjua na yeye ni mwanafunzi!!!

Anasema baada ya kupigwa alienda nyumbani na hakuwakuta wazazi wake na simu yake haikuwa na Salio la kuwapigia wazazi na hivyo aliamua kulala HADI Asubuhi!!!

Inamaana Siku hiyo hakutoka nje,Hakupika Chakula na Majirani hawakumuona kuvimba uso na yeye hakwenda kuomba Simu Kwa Majirani ili awapigie wazazi wake!!! Pia yeye ni mwanafunzi lakini anamiliki Simu kaitoa wapi na Sheria za shule mwanafunzi hapaswi kumiliki Simu!!!!

Hapo alipo kafungwa bandeji!! Kufungwa bandeji maana yake Kuna mchubuko au jeraha!! Na jeraha lazima huwa Kuna damu inavuja, Lakini yeye hakwenda hospital akalala huku akiwa na hilo jeraha sijui lilikuwa linavuja damu!!!!


Mama mtu anaonekana naye kapangwa,Mama anasema alimkuta mtoto sura kavimba ila siyo jicho ,Ni sura,!!! Kama alimkuta kavimba sura maana yake hakuna kovu au jeraha lolote usoni isipokuwa kavimba uso!!!!

Sasa kama kavimba uso na HAKUNA JERAHA USONI ,ILA KAVIMBA TU SURA, HILO PLASTA AU MBANDEJI KWENYE JICHO NI la nini wakati Hana jeraha lolote Bali kavimba TU uso????

Maswali ya mama yake nayo yanatilia mashaka kama ni kweli yake au kapangwa azungumzeje.


HITIMISHO LANGU MIMI.
Mimi naona Rais asimuondoe huyo DC isipokuwa iundwe kamati huru ikachunguze Kwa undani lakini DC asimamishwe kazi kupisha uchunguzi.

Naamini mojawapo ya mambo yafuatago litakuwa ndiyo la kweli au ndiyo chanzo Cha tatizo;-

Mosi,HUENDA tuhuma ni za kutungwa TU zenye Nia ya kumchafua DC,Kiuhalisia na katika Hali ya kawaida DC hawezi kumpiga yeye peke yake kati ya wengi,Hivyo HUENDA ni zengwe linapigwa na wabaya WA DC.Kwanza wakati anapigwa Wenzake walikuwa wapi? Yaani Wenzake washindwe Kupiga kele au kwenda nyumbani kuwaambia wazazi WAO kwamba Fulani kapigwa na DC hadi Siku iliyofuata ndo mzazi afike amkute mwanaye kavimba sura na Majirani muda wote wasimpe msaada mwanaye?HUENDA IKAWA NI ZENGWE TU.
Halafu jukwaalilikuwa la nini? DC na jukwaa wapi na wapi? Na muda anapigwa ilikuwa muda gani hadi aende kukaa Kwenye jukwaa asiwepo darasani? Hapa Kuna kitu lazima.


Pili, HUENDA wanamahusiano ya kingono na mzazi anayajua mahusiano hayo na ndiyo maana mwanafunzi anamiliki na simu kwani ukimwangalia huyo mama Sina hakika kama anauwezo WA kumnunulia Simu mwanaye.Hivyo HUENDA chanzo Cha kupigwa ni wivu WA mapenzi.

Tatu,Tukio HUENDA ni la kweli lakini limekuzwa sana hasa kuwekewa na PLASTA jichoni ambapo mama mzazi anasema alimkuta uso umevimba ,Sasa kama alimkuta uso umevimba TU hilo PLASTA jichoni ni la nini wakati hakuna jeraha? Kuvimba Kwa sura na uwepo WA hilo PLASTA ni kutaka kulikuza jambo lionekane kubwa.

TANBIHI,Haya ni maoni yangu,Nawewe unamaoni yako.Toa Hoja zako usipige kelele.

Simalenga yamemkuta. Ukijifanya katili matokeo take ndio haya.
 
Hii taarifa inaonekana inamushikeli,DC na jukwaa anahusikaje?
Mwanafunzi anyooshe maelezo vzr.

Mama anasema alimkuta mwanaye kavimba sura na hakuna jeraha,Sasa hilo bandeji la nini huku akiwa Hana jeraha? Kuvimba sura na hilo bandeji linahusikaje hapo?
Naona kama kausanii Fulani hivi Cha kumchafua DC
 
Wameiba pesa zetu wameona haitoshi, wameanza kupiga na kujeruhi kisa wako juu ya Sheria. Barabarani wanatanua Kama ma agent wa shetani.
Akili hawana zaidi ya kusifu na kuabudu.
 
Back
Top Bottom