Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Simalenga ndo yule msanii wa kaole?, Stress na ulevi wa cheo vikichangana ndo haya mambo utokee😂,hiyo ni criminal case,,, physical assault,,, 🤷🏽‍♂️
This is not right at all. Huyo mkuu wa wilaya alikuwa na issue zake binafsi personal issues.

Huwezi ukampiga mtu especially a girl. That's bodily harm assault. Mpuuzi sana
 
Hii haikubaliki kabisa. Hana huo uhalali wa kumpiga huyo msichana kwa vyovyote vile tena kwa mangumi. Mimi na bangi zangu siwez famya hivyo.

Ngoja nimgoogle hiyu DC. Aibu aibu kabisa.

Mama nakuomba mtumbue haraka sana huyu jamaa. Kaweka doa kwenye serikali yako.
 
Kumbe jamaa ni mbukunyuku hivyo, nilikuwa namchukulia kama mtu mwenye hekima zake
Hata shetani usipomjua vema, utadhania ana hekima na utamu wote, kumbe ndio ibilisi mkubwa wa dunia hii, so huyo DC the same, afukuzwe ASAP, huwezi hata iweje kumpiga tena mtoto wa kike kwa kiwango hicho, hii ni indication kuwa huwa anapiga watumishi au wananchi wengine, ila hili tukio ndio limefumbua watu macho.
 
Back
Top Bottom