Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mnali alikuwa anachapa walimu wao. Huyu mjinga anapiga vibint vidogo. Au anapata flava flan akipiga ngozi laini? Ashtakiwe kwa udhalilishaji wa kingonoUmenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnali alikuwa anachapa walimu wao. Huyu mjinga anapiga vibint vidogo. Au anapata flava flan akipiga ngozi laini? Ashtakiwe kwa udhalilishaji wa kingonoUmenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Nimeparaphrase alichosema binti kwenye clip. Sasa wewe ulitakaje? Usinichoshe, nenda kasikilize clip mwenyewe, mpuuzi mkubwa wewe.Na utu uzima wako unaona mtiririko wa matukio upo sahihi kabisa..?
Aliwahi kuwa na DC wa Geita pia, alikua wa moto sana yule.Umenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Kwa namna huyu binti anavyoongea kimachepele kuna kila dalili hili tukio limetengenezwa kumchafua huyo DC, na kuna kundi la watu hapa JF limepangwa kutoa comments mbaya ili huyo DC atumbuliwe.Hii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P
Sisiemu hoyeeeeee....Simalenga ndo yule msanii wa kaole?, Stress na ulevi wa cheo vikichangana ndo haya mambo utokee😂, hiyo ni criminal case, physical assault.🤷🏽♂️
Mfano mzuri kabisa wa ma-DC tulionao, baadhi yao ni DC Godwin Gondwe na Jorkate. Wanawaheshimu sana watu. Siyo huyuKwa namna huyu binti anavyoongea kimachepele kuna kila dalili hili tukio limetengenezwa kumchafua huyo DC, na kuna kundi la watu hapa JF limepangwa kutoa comments mbaya ili huyo DC atumbuliwe.
Nashauri uchunguzi wa kina ufanyike.
Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii, Dr. Doroth Gwajima, ameisha tuma kikosi kazi chake cha uchunguzi kufuatilia hili jamboKwa namna huyu binti anavyoongea kimachepele kuna kila dalili hili tukio limetengenezwa kumchafua huyo DC, na kuna kundi la watu hapa JF limepangwa kutoa comments mbaya ili huyo DC atumbuliwe.
Nashauri uchunguzi wa kina ufanyike.
Mkuu Mayalla hicho kikosi kazi Cha Waziri kinafanyaje uchunguzi wakati mtuhumiwa bado Yuko kwa power!!? Don't you think about sabotage!!??Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii, Dr. Doroth Gwajima, ameisha tuma kikosi kazi chake cha uchunguzi kufuatilia hili jambo
P
Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii, Dr. Doroth Gwajima, ameisha tuma kikosi kazi chake cha uchunguzi kufuatilia hili jambo
P
Wewe ni ke au me? Tuanzie hapo.Kwahiyo mtoto WA kiume anastahili kupigwa kama unapiga Ngoma?
Kwanini usiseme TU unapiga mtoto kama unapiga Ngoma badala ya kuweka hilo neno la ubaguzi la kike? Kwani angekuwa WA kiume ndiyo anastahili kupigwa?
Nilitegemea mtoa habari angeanza kwa kuelezea kisa na mkasa huo. Video haijitoshelezi inaacha maswali mengi mno. e.g. Jukwaani alikwenda kuketi na wenzake walikuwa wakifanya nini pale?Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
ME unasemaje? Hoja yako ni ipi hapo?Wewe ni ke au me? Tuanzie hapo.
Umekuwa mtu wa hovyo sana. Pengine hata ni wa hovyo toka zamaniHii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P