Simon Simalenga, hujifunzi kwa Sabaya? Kila lenye mwanzo lina mwisho
Habari zenu ndugu zangu. Kuna huyu mkuu wa wilaya ya Songwe ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki anaitwa Simon SIMALENGA. Alifika hapa Songwe kwa mbwembwe na utoto mwingi tukadhani hajazoea cheo akizoea atajifunza lakini wapi. Alifika hapa akaifungia bar Moja pale mkwajuni bila sababu kisa tu...