Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Huyo dr. gwajima alimshindwa rev. Gwajima atamweza dc?

Uzuri rso ameshaeleza kinagaubaga tatizo hilo kwa katibu mkuu kiongozi na mama akasema, aendelee na kazi lakini asirudie.
Gwajigelo ripoti yake atapeleka kwa pm na pm atapeleka kwa prezdaa inawekwa kabatini.
 
Kama hadi sasa haijatolewa taarifa rasmi juu ya tuhuma za DC Simon Simalenga basi yawezekana zilikuwa ni siasa chafu tu

Kama hivyo ndivyo basi siasa zetu zimefika pabaya

Nakumbuka mbunge George Mwenesongole gari yake iliharibiwa na maradhi zake wa kisiasa huko huko mkoani Songwe
Waziri ndie anacheza huo mchezo ama?
 
Attachments

  • Screenshot_20221206-161020.png
    Screenshot_20221206-161020.png
    200.9 KB · Views: 4
Huyo dr. gwajima alimshindwa rev. Gwajima atamweza dc?

Uzuri rso ameshaeleza kinagaubaga tatizo hilo kwa katibu mkuu kiongozi na mama akasema, aendelee na kazi lakini asirudie.
Gwajigelo ripoti yake atapeleka kwa pm na pm atapeleka kwa prezdaa inawekwa kabatini.
Nawe unaona Sawa tu?

Eti mama kasema aendelee ila asirudie.
 
Kama hadi sasa haijatolewa taarifa rasmi juu ya tuhuma za DC Simon Simalenga basi yawezekana zilikuwa ni siasa chafu tu

Kama hivyo ndivyo basi siasa zetu zimefika pabaya

Nakumbuka mbunge George Mwenesongole gari yake iliharibiwa na maradhi zake wa kisiasa huko huko mkoani Songwe
Kwa mtu duni kama Simalenga afanyiwe mchezo mchafu ili iweje ?
 
Sijui kisa kilivyokuwa lakin mabinti wa siku hizi ni wakujihadhari maana wanaweza hata kukuzushia jambo. Nadhani alimwudhi sana mkuu wa wilaya hata akajaribiwa kufanya hicho. Lakin hiyo bandeji mbona kubwa sana? Ina maana lote hili ni jeraha? Mkuu wa wilaya asionewe. Jinsi ya kike hivi sasa wengi hawana adabu. Wanaweza singizia hata kubakwa kumbe siyo. Haki itendeke kwa mkuu wa wilaya. Mabinti wengi wana kiherehere sana
 
Mwanafunzi WA michongo na mtangazaji WA michongo.

Hilo ni plani ya kumchafua DC.

Kavimba Kwenye mashavu???

Haya hilo bandeji Kwenye jicho limefuata nini????????
Kabisa inawezekana huyo binti alikuwa anamtaka mkuu wa wilaya akaamua akizushe. Haki itendeke kwa mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom