johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jamaa gani?Kuwa muigizaji ni kipaji chake, huyo ni mtumishi wa umma, presidential appointee..
Naona jamaa wanataka kumchafulia CV yake
This is not right at all. Huyo mkuu wa wilaya alikuwa na issue zake binafsi personal issues.Simalenga ndo yule msanii wa kaole?, Stress na ulevi wa cheo vikichangana ndo haya mambo utokee😂,hiyo ni criminal case,,, physical assault,,, 🤷🏽♂️
Mkuu Joni tuwekee picha tafadhali.Tomaso
Huyu DC alikuwa muigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu
Kwani sheria inasemaje?Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike
View attachment 2437142
Kumbe Baba yake alishawahi kuwa DC?Jamaa gani?
Hawa Watoto wa maDC wastaafu huwa ni watata sana kama alivyokuwa Ole Sabaya
Atarudia umeneja pale CloudsAanze tu kufunga mizigo huyo mkuu wa wilaya. Halafu huyu si alikuwa anafanya kazi clouds fm?Sasa ajiandae tu kurudi uraiani.
Itakuwa walishamreplace. Bora angekuwa serikalini angerudia kazi yake ya zamani. Clouds ni private unaondoka wanakureplace.Atarudia umeneja pale Clouds
Ataenda Iringa kulima pilipiliItakuwa walishamreplace. Bora angekuwa serikalini angerudia kazi yake ya zamani. Clouds ni private unaondoka wanakureplace.
Na wewe leta video ukiwa unazaliwa, nje ya hapo, hao siyo wazazi wako.Leteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchochezi
Clouds watakuwa wa ajabu wakimrudisha mtu wa hovyo namna hiyo.Atarudia umeneja pale Clouds
Zao la uvccm ni shida.Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Hata shetani usipomjua vema, utadhania ana hekima na utamu wote, kumbe ndio ibilisi mkubwa wa dunia hii, so huyo DC the same, afukuzwe ASAP, huwezi hata iweje kumpiga tena mtoto wa kike kwa kiwango hicho, hii ni indication kuwa huwa anapiga watumishi au wananchi wengine, ila hili tukio ndio limefumbua watu macho.Kumbe jamaa ni mbukunyuku hivyo, nilikuwa namchukulia kama mtu mwenye hekima zake