Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike


Simalenga yamemkuta. Ukijifanya katili matokeo take ndio haya.
 
Hii taarifa inaonekana inamushikeli,DC na jukwaa anahusikaje?
Mwanafunzi anyooshe maelezo vzr.

Mama anasema alimkuta mwanaye kavimba sura na hakuna jeraha,Sasa hilo bandeji la nini huku akiwa Hana jeraha? Kuvimba sura na hilo bandeji linahusikaje hapo?
Naona kama kausanii Fulani hivi Cha kumchafua DC
 
Wameiba pesa zetu wameona haitoshi, wameanza kupiga na kujeruhi kisa wako juu ya Sheria. Barabarani wanatanua Kama ma agent wa shetani.
Akili hawana zaidi ya kusifu na kuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…