Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi kutoka Chama cha MazezetaMkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike
View attachment 2437142
Kesho mapema asubuhi utamsikia Dr Dorothy GwajimaHabari ikimfikia mama, mkuu wa wilaya anakuwa mtanzania mwenzetu...
Leteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchocheziMkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike
View attachment 2437142
TomasoLeteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchochezi
Huyu alimchapa fimbo mwalimu haaahaaa kipindi cha JKUmenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Tuandae tafrija ya kumkaribisha uraiani mkuu wa wilaya mtumbuliwa mtarajiwa....Kesho mapema asubuhi utamsikia Dr Dorothy Gwajima
Unadhani kila mtu ni mpiga picha kama wewe?Leteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchochezi
Kuwa muigizaji ni kipaji chake, huyo ni mtumishi wa umma, presidential appointee..Tomaso
Huyu DC alikuwa muigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu
Sawa daktari wa jf, naomba uthibitisho wa maandishi kutoka kwa daktari kuonyesha mhanga alipigwa ngumiUnadhani kila mtu ni mpuga picha kama wewe?
Jf kuna madaktari, mainjinia, wanasheria, wahasibu na wapiga picha kama wewe...