Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Mama hakubaliki
 
Daftari moja mia 2-3 ila gharama za kuprint linaweza kufika hadi mia 7.
Hii ni mimba ya chuki, ukizaa mtoto ni aibu... daftari huuzwa 300 na zina printed layouts siku zote, we sema shida yako Samia tu.
 
Hivi huwa mnazitumia bongo zenu kufikiri kihisia tu?!!!

Hao watoto wanayo madaftari yenye picha za Cristiano Ronaldo na nyuma bidhaa za Mo Dewji.....

Sasa lipi bora kuwa nalo kati ya picha ya mh.Rais wa nchi ama hao wengine ?!!!

#JMT kwanza!

Unamfokea nani? Ukiwa unaandika ujinga jitahidi kuandika in a polite tone.

Ronaldo ni mwenyekiti wa chama cha siasa? Ronaldo ni Amir Jeshi Mkuu? Ronaldo ni mgombea wa Urais? Ronaldo anachagua wakuu wa wilaya wangapi kwenye nchi hii?

Donald Trump ni bilionea. Kwa hela zote alizonazo kwanini wasaidizi wake hawajataka kuweka mugshot yake kwenye madaftari ya watoto?

Lissu akisema agawe madaftari yenye picha yake mashuleni mtakubali?

Kwanini hayo madaftari hayakugawiwa tangu mwaka 2021, yanakuja kugawiwa miezi 6 kabla ya kampeni?
 
Hivi huwa mnazitumia bongo zenu kufikiri kihisia tu?!!!

Hao watoto wanayo madaftari yenye picha za Cristiano Ronaldo na nyuma bidhaa za Mo Dewji.....

Sasa lipi bora kuwa nalo kati ya picha ya mh.Rais wa nchi ama hao wengine ?!!!

#JMT kwanza!
Kama ipo hivyo na machawa wameiga basi kuna shida pahala. Tuweke picha za rasilimali zetu kwenye vitabu vya kujifunzia watoto wetu ili waanze kuzijua wakiwa bado wadogo na baadae wakikua wapate moyo wa kuzitetea
 
Hata Mobutu ameshapitwa mbali na Macawa wa Maza.

Binafsi nataka kujua breaking point ya Uchawa itakuwa ni nini?

Nataka nijue kama tumempita hadi Mobutu kwa Uchawa, nini kitasababisha hadi uchawa ufutike?
 
Unadhani nini kitatokea mkuu?

Breaking point ya Uchawa itakuwa ni nini?
Kwa Tanzania most likely scenario itakuwa kama Zimbabwe.
1 . Demokrasia itazidi sana kudhoofika
2. Rushwa na ubadhirifu utatamalaki kila sekta
3. Viongozi wa Serikali watakuwa watu wasiojali maslahi ya nchi zaidi ya maslahi yao na jamaa zao.
4. Utiifu kwa wanasiasa utakuwa juu ya utiifu wa nchi. Kwa sasa hii hali ipo. Ila itakapofikia level ya Mugabe itakuwa mwisho wa hii jamhuri
 
Unadhani nini kitatokea mkuu?

Breaking point ya Uchawa itakuwa ni nini?
Kwa Tanzania most likely scenario itakuwa kama Zimbabwe au Venezuela.
1 . Demokrasia itazidi sana kudhoofika
2. Rushwa na ubadhirifu utatamalaki kila sekta
3. Viongozi wa Serikali watakuwa watu wasiojali maslahi ya nchi zaidi ya maslahi yao na jamaa zao.
4. Utiifu kwa wanasiasa utakuwa juu ya utiifu kwa nchi. Kwa sasa hii hali ipo. Ila itakapofikia level ya Mugabe itakuwa mwisho wa hii jamhuri
 
Si kweli....

Rais ni TUNU ya taifa kama ilivyo bendera ya taifa....popote pale ambapo PICHA yake ipo basi baraka za kuasisiwa kwa taifa hili ZINAKUWEPO....

#Taifa kwanza!

Yaani wewe akili yako inatakiwa ipigwe window kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…