Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ikitokea mtoto katoboa toboa macho huyo mtu wenu kwenye hilo daftar msimkamate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...si uchawa bali ni uzalendo mkubwa kwa tunu za taifa letu...Kutoka zama za kale mawe hadi zama za uchawa tumepiga hatua kama Taifa, wapongezwe wahusika.
Kwahiyo tumshukuru Mama kwa kutupa hewa ya Oksijeni?!...si uchawa bali ni uzalendo mkubwa kwa tunu za taifa letu...
Kwa TZ uongozi ni ujasiriamali, usishangae watu wanawekeza ili wavune vinono baadae.Inasikitisha sana kuona kiasi gani viongozi wa nchi wanavyopambania matumbo yao
VERY SAD!
Hii ni mimba ya chuki, ukizaa mtoto ni aibu... daftari huuzwa 300 na zina printed layouts siku zote, we sema shida yako Samia tu.Daftari moja mia 2-3 ila gharama za kuprint linaweza kufika hadi mia 7.
Hivi huwa mnazitumia bongo zenu kufikiri kihisia tu?!!!
Hao watoto wanayo madaftari yenye picha za Cristiano Ronaldo na nyuma bidhaa za Mo Dewji.....
Sasa lipi bora kuwa nalo kati ya picha ya mh.Rais wa nchi ama hao wengine ?!!!
#JMT kwanza!
Mshukuru wewe kama anakupa hiyo Oxygen, kwa mwenye utimamu yeyote vya Mungu atampa Mungu, vya kaizari atapewa kaizari.Kwahiyo tumshukuru Mama kwa kutupa hewa ya Oksijeni?!
Kama ipo hivyo na machawa wameiga basi kuna shida pahala. Tuweke picha za rasilimali zetu kwenye vitabu vya kujifunzia watoto wetu ili waanze kuzijua wakiwa bado wadogo na baadae wakikua wapate moyo wa kuziteteaHivi huwa mnazitumia bongo zenu kufikiri kihisia tu?!!!
Hao watoto wanayo madaftari yenye picha za Cristiano Ronaldo na nyuma bidhaa za Mo Dewji.....
Sasa lipi bora kuwa nalo kati ya picha ya mh.Rais wa nchi ama hao wengine ?!!!
#JMT kwanza!
Pumbavu kabisa hili...si uchawa bali ni uzalendo mkubwa kwa tunu za taifa letu...
Kwa Tanzania most likely scenario itakuwa kama Zimbabwe.Unadhani nini kitatokea mkuu?
Breaking point ya Uchawa itakuwa ni nini?
Kwa Tanzania most likely scenario itakuwa kama Zimbabwe au Venezuela.Unadhani nini kitatokea mkuu?
Breaking point ya Uchawa itakuwa ni nini?