Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa wapumbavu sijui hawapelekwi workshop ya uongozi, hebu ona huyo hajui wapi anaenda kwa shughuli za kichama au serikali mpaka imekuwa kama sare rasmi kuvaa kofia zilizoandikwa SSH bila kujua wapi zinatakiwa kuvaliwa na wapi wasivae.

Taifa la wapumbavu ni msiba wa kesho mama hivi mama vile utadhani hawana mama zao nyumbani.
 
πŸ’― %
 
Nashangaa sana vijana wakiitwa wahuni na kwamba wazee ndo wenye busara ilihali me naona wazee ni wahuni zaidi.
Kudadeki zao, hawa wazee ndo wametuharibia nchi, halafu lawama tunapewa sisi vijana.

Akati tumekuta nchi imejaa upupu mtupu.
Mkuu weka threads, ya nani muhuni kati ya 2000s na 1900s

Utaona wazee wengi walikuwa wahuni majambz, na matapeli sana enzi zao
(Kumradhi nimetumia Lugha ya ukali kidogo)
 
Hofu ya Hofu ya kushindwa ni kubwa sana huko chamani
 
Ndo maana Jua ni Kali Sana, tunamtukuza mtu kuliko MUNGU, hakika hii nchi inakoelekea ni kubaya sana, INASIKITISHA
 
Nimeipenda Hijab ktk picha
 
Kwani alieleta madaftari ni mkuu wa wilaya au Watoto Foundation ?
Unaweza kuta hapo mkuu wa wilaya kaalikwa tu
Samia Raisi,2025
2025,tupo na Mama
 
Sasa hivi ni mwendo wa kulazimisha ngamia kupenya ndani ya tundu la sindano! Hakubaliki ndani na nje ya Chama.
 
Yana mwisho ingawa siku wala muda ujajulikana
 
Samia ana uchu wa madaraka japo hana uwezo. Yupo kwa ajili ya kutajilisha ukoo wake. Kuna waziri mmoja amenunua nyumba. Apartment, za wachina kwa hela taslimu na ana uhusiano wa kindugu na samia
Sasa kama wanafanya overpricing ya miradi ya ujenzi kiwango hiki kwa nini wasijitajirishe hivyo?
 
Na nyie si mugawe peni zenye picha ya Tundu Lissu.

Malalamiko Kila kukicha!!!.
 
Ila hawachelewi kusema wapinzani ndio waroho wa madaraka
It's too much.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.Kwa trend hii, samia atakosa yote hata oktoba 2025 ataukosa urais.

samia anaonekana anatamaa mbaya sana ya madaraka.
 
It's too much.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.Kwa trend hii, samia atakosa yote hata oktoba 2025 ataukosa urais.

samia anaonekana anatamaa mbaya sana ya madaraka.
Aisee unajua waswahili wanasema chema chajiuza ila kibaya chajitembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…