Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afanaleek duh! Kama kachinja kuku kwa mdomp
 
Hata DRC ilianza hivi hivi uchawa kwa Mobotu, ile mbegu ikamea na kukomaa leo hii kitu uzalendo kwa Wacongo hakipo hadi askari wa jeshi la Congo wanakimbia uwanja wa mapambano wanavua kombati na kujichanganya na raia.Sasa hivi maccm wamekuwa misukule ya Samia kabisa.
 
Machawa hadi aibuuuuu
 
Ukiona kiongozi anaendekeza sifa za kijinga na kukumbatia machawa jua huyo ni zero brain!.
Kwake la muhimu ni kuwa kiongozi ila maono ni sifuri!!.
 
It's too much.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.Kwa trend hii, samia atakosa yote hata oktoba 2025 ataukosa urais.

samia anaonekana anatamaa mbaya sana ya madaraka.
Sijui kuna nini anataka kwenda kukifanya and/or kukificha?..sio kwa SHAUKU na TAMAA hii!
 
Tunachukua nafasi ya Urusi na tunaikaribia Korea ya Kaskazini
 
It's too much.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.Kwa trend hii, samia atakosa yote hata oktoba 2025 ataukosa urais.

samia anaonekana anatamaa mbaya sana ya madaraka.
Uchaguzi wa jf ,x, ndio Samia anaweza kukosa urais
 
Kama anaakili timamu angezuia huu ujinga tangu mwanzo lakini kwa kuwa mwanamke hupenda sifa anaona sawa tuu wacha waendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…