Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM alikuwa haitaji haya mambo ufanisi wake wa kazi ulikuwa inajieleza wazi, Yan ilifika hatua upinzani kulikuwa na hoja ya udikiteta tuMkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga.
Akiongea wakati wa kukabidhi madaftari hayo DC Kubecha amesema kuwa dhumuni la kufanya hivyo ni kuunga mkono juhudi za Serikali katika sera ya elimu bila malipo kwa kutoa madaftari yenye picha ya Rais wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yatachochea juhudi za Watoto wa kuke kusoma ili kuweza kutimiza ndoto zao..
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watoto Foundation Ally Pingizi amesema kuwa ugawaji wa madaftari hayo ni harambee ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha Watoto kusoma kwa bidi na kuwa na upendo na Rais Samia.
Madaftari hayo yenye picha ya Rais wamegawa bure kwa Shule ya Pongwe, Majani mapana, na Usagara kwa Watoto wenye mahitaji maalumu na wasio jiweza.
Hovyo kabisa aseeYawezekana machawa wote walikwishapewa underwear zenye picha ya mama.
Watengeneze t.paper na dustbins zenye picha ya mama.
Haaa haaaWakimaliza walete kondomu zenye picha ya Mama! Kampeni uchafu kabsa!
Unadhani mkuuu! Walete na boxer na chupi zenye picha za Samia! Yaani kila mtu sasa hivi ni kama Zombie tuHaaa haaa
Sure mwamba wafanye hivyo ili tuendelee kumuunga mkono mamaUnadhani mkuuu! Walete na boxer na chupi zenye picha za Samia! Yaani kila mtu sasa hivi ni kama Zombie tu
Ni zaidi ya hiyo! Sojui tuiiteje?Satanic
Hama.Nchi imekuwa ya kisenge sana
😃😃😃😃, CWT oyeeee!! Kazi IendeleeeBaada ya kugawa pikipiki nchi nzima, sasa hivi wanagawa madaftari ya mama huko mashuleni. Kwanini haya madaftari yaje mwaka huu 2025? Tunawafundisha nini watoto wetu?View attachment 3246775