Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.

Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.

Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024

Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.

Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.

Pia soma
- Wanawake 36 wanaodai kukamatwa Ubungo na kudhalilishwa Kuwa " Dada Poa" kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya na kumdai Fidia ya tsh Billion 36!
 
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo...
Aende pia Riverside kuna baa inatazama kituo cha daladala zielekeazo Buguruni. Kuna siku nilienda saa nane usiku kama abiria wa bus la Tilisho, sikuamini kilochopo
 
Aende pia Riverside kuna baa inatazama kituo cha daladala zielekeazo Buguruni. Kuna siku nilienda saa nane usiku kama abiria wa bus la Tilisho, sikuamini kilochopo
Ahsante kwa taarifa.

tuendelee kufichukua maeneo yote yanayo endesha biashara za ukahaba ili tuwatokomeze.
 
Back
Top Bottom