Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hii ni dalili ya kuonyesha huyo kiongozi hayupo serious na kazi. Kwa hiyo chalamila Naye kalisusa kalipokea yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wifi 🤣🤣🤣namba za wateja wetu tunazo.
Akitoka huku aende na telegram/badoo/tinder nk.Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.
Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.
Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024
Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.
Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Hata wizi na ukabaji ni taaluma kongwe duniani, hautaisha ila hatutafumbia macho lazma sheria ichukue mkondo, hatuwezi kutetea uhuni na uhalifu kwa kisingizio cha umasikini au kwa kuwa wahalifu wanawake.Biashara hiyo ndio biashara kongwe Kati ya biashara zote Duniani. Labda atafanikiwa, ngoja tuone!
zote yani hakijaharibika kitu apo😂😂😂😂Wifi 🤣🤣🤣
Ww una balaa! Ko namba zao unazo wateja wako??
Tangu enzi za Biblia biashara hii ipo. Na hakuna aliyeweza kupambana nayo akafanikiwa maana ni hitaji mojawapo la kibayolojia la binadamu.Biashara kongwe duniani......
Labda tu TRA ikae nao mezani.
Za madc huna? 😂zote yani hakijaharibika kitu apo😂😂😂😂
siri za ofisi nitoe ili nikose wateja😂😂Za madc huna? 😂
Na ww mnunuzi kaka 😜Tangu enzi za Biblia biashara hii ipo. Na hakuna aliyeweza kupambana nayo akafanikiwa maana ni hitaji mojawapo la kibayolojia la binadamu.
Atapambana lakini mwishowe atamwaga manyanga tu. Atakamata kamata wauzaji lakini wateja hawataguswa. Uonevu!
Njia bora ni kukaa na kuongea nao ili wauzaji waseme kinachowasukuma kuingia katika biashara hii maana mpaka wasomi wa vyuo vikuu wamo. Na sidhani kuna hata mmoja kati yao anayeipenda biashara hii.
Akishajua chanzo chake basi ashughulike kutatua changamoto-sababishi. Vinginevyo itakuwa sawa na kukuna vipele vikiwasha huku ukidhani kuwa unatibu tatizo!
🤣🤣🤣 Wacha weee!!siri za ofisi nitoe ili nikose wateja😂😂
😂😂 Makofi na vigelegele kwangu🤣🤣🤣 Wacha weee!!
Hapana sis. Miaka 78 nitamnunua nani? Na bahati nzuri tangu ujana wangu sijawahi kununua mbususu japo kipindi fulani masela wa kitaa waliwahi kunikokota kwenda mtaa wa Wahaya hapa Misungwi. Nilipofika na kukuta wateja wamepanga foleni niliogopa mazima na kamwe sijawahi kununua malaya maishani mwangu 🙏🏿Na ww mnunuzi kaka 😜
Kaka hapa mbona km unavunja amri ya 8 hivi 😜Hapana sis. Miaka 78 nitamnunua nani? Na bahati nzuri tangu ujana wangu sijawahi kununua mbususu japo kipindi fulani masela wa kitaa waliwahi kunikokota kwenda mtaa wa Wahaya hapa Misungwi. Nilipofika na kukuta wateja wamepanga foleni niliogopa mazima na kamwe sijawahi kununua malaya maishani mwangu 🙏🏿
Kuna bro mmoja humu nishakutana naye. Nampa rukhsa aje akuthibitishie umri wangu. Akisema siyo miaka 78 nidai milioni moja keshi!Kaka hapa mbona km unavunja amri ya 8 hivi 😜
Miaka 78? Hii ni UONGO 🤣🤣🤣
Halafu mbususu unazonunua ww sio zile foleni, zako zile zisizokuwa na bei”bei elekezi”